94 – Po Pote Mashamba Yajaa

( 358 – Far and Near the Fields Are Teeming )

Mtunzi :

1. Po pote mashamba yajaa, tele nafaka pevu,
Po pote yang’aa meupe bondeni na nyandani.

Mwenye mavuno, twasihi upeleke wavuni,
Wayakusanye mazao, hata kazi yaishe.

2. Wapeleke uchaoni, waende na jotoni,
Hata jua lishukapo wakusanye ko kote.

3. Enyi wakazi wa Bwana yaleteni mazao,
Na jioni ingieni kwake na furaha kuu.

WhatsApp