58 – Zitakuwa Nyota Tajini?

( I Am Thinking Today )

  1. Leo ninafikiri ya nchi nzuri Ninayotaka kuiona;
    Nisimamapo karibu na Mwokozi, Tajini zitakuwa nyota?

Sijui tajini mwangu kama nyota
Zitang’aa kila wakati!
Nitakapoamka katika majumba,
Zitakuwa nyota tajini?

  1. Kwa nguvu za Bwana nitafanya kazi, Nitavuta roho za watu,
    Ili niwe na nyota katika taji, Bwana anapotupa tunu.
  1. Nitakuwa na furaha nikimwona, Kuweka miguuni pake
    Watu waliovutwa kwa ajili ya Kazi yangu na Roho yake.
WhatsApp