56 – Waponyeni Watu

( 367 – Rescue the Perishing )

Mtunzi :

  1. Walio kifoni, nenda waponye.
    Uwatoe walio shimoni;
    Wanaoanguka uwainue;
    Habari njema uwajulishe.

Walio kifoni waokoeni,
Mwokozi yuko huwangojea.

  1. Wajapokawia anangojea,
    Awasubiri waje tobani;
    Mwokozi hawezi kuwadharau,
    Huwasamehe tangu zamani.
  1. Na ndani ya moyo wa wanadamu
    Hawamo shida, tena huzuni;
    Lakini kwa Yesu huna rehema
    Kuwaponya na kuwaokoa.
  1. Walio kifoni, nenda waponye
    Kazi ni yetu, zawadi iko;
    Nguvu kuhubiri Bwana hutoa
    Kwa subira tuwavute sasa.
WhatsApp