52 – Nipe Biblia

( 272 – Give Me the Bible )

  1. Nipe Biblia nyota ya furaha, wapate nuru wasafirio;
    Hakuna la kuzuia amani, Kwani Yesu alituokua.

Nipe Biblia neno takatifu, Nuru yake itaniongoza;
Sheria na ahadi na upendo,Hata mwisho vitaendelea.

  1. Nipe Biblia nihuzunikapo ikinijaza moyoni dhambi;
    Nipe neno zuri la Bwana Yesu, Nimwone Yesu Mwokozi wangu.
  1. Nipe Biblia nipate kuona, hatari zilizo duniani;
    Nuru ya neno lake Bwana Yesu, itaangaza njia ya kweli.
  1. Nipe Biblia taa ya maisha; Mfariji tunapofiliwa;
    Unionyeshe taa ya mbinguni, Nione utukufu wa Bwana.

 

WhatsApp