3 – Mungu Atukuzwe

( 341 – To God Be the Glory )

  1. Mungu atukuzwe, kwa mambo makuu,
    Upendo wake ulitupa yesu,
    Aliyejitoa maisha yake,
    Tuwe nao uzima wa milele.
Msifu, msifu dunia sikia;
Msifu, msifu, watuwafurahi;
Na uje kwa baba, kwa yesu mwana
Ukamtukuze kwa mambo yote
  1. Wokovu kamili zawadi kwetu,
    Ahadi ya mungu kwa ulimwengu;
    Wanaomwamini na kuungama,
    Mara moja wele husamehewa.
  1. Alitufundisha mambo makuu,
    Alihakikisha wokovu wetu;
    Lakini zaidi ajabu kubwa,
    Yesu atakuja na tutamwona.
WhatsApp