208 – Mungu Afanya Upinde

( The Rainbow )

1. Nani afanya upindi,
Namjua, namjua
Mungu afanya upindi
Nampenda kwa hiyo.

2. Mungu atuma upindi
Ni bora mweupe,
Mungu atuma upindi,
Kwamba yu karibu.

WhatsApp