207 – Nani Afanya Maua

( Who Makes The Flowers )

1. Nani ayafanya maua, maua,
Nani ayafanya—Mungu juu.

2. Nani apambaye machweo, machweo,
Nani ayapamba—Ni Mungu.

3. Nani afanya theluji, theluji,
Nani aifanya—ni Mungu.

 

WhatsApp