193 – Sauti Yake Mchungaji

( 361 – Hark! 'Tis the Shepherd's Voice I Hear )

1. Sauti ya Mchungaji, ninasikia jangwani,
Kondoo waliopotea anwaita warudi.

Leteni, leteni, leteni toka dhambini;
Leteni, leteni, waleteni kwa Yesu.

2. Nani atakeyekwenda amsaidie Mchungaji,
Awarudishe zizini, wasife bure gizani?

3. Usikose kusikis sauti ya Mchungaji,
“Kondoo waliopotea nwnda na kuwatafuta.”

WhatsApp