188 – Wimbi Litakasalo

( 332 – The Cleansing Wave )

1. Wimbi la damu la Yesu linatutakasa
Aliumia kusudi tupate uzima

Wimbi la damu naona naingia natakaswa!
Bwana asifiwe sana hutakasa hutakasa

2. Damu inasema kwangu nasikia mvuto
Inasema mvuto moyo wangu hutakaswa nayo

3. Naondoka kutembea kwa nuru ya mbungu
Mavazi yamesafishwa moyoni ni Yesu

4. Neema ni ya ajabu kutakaswa ndani!
Na kuwa naye Yesu tu aliye mwokozi

WhatsApp